Kurunzi ya Insha: Kidato cha I na 2, kimezingatia tungo zote za ubunifu/kawaida na za kiuamilifu zilizomo kwenye silabasi ya Kiswahili, kidato cha kwanza na pili
Kurunzi ya Insha: Kidato cha I na 2, kimezingatia tungo zote za ubunifu/kawaida na za kiuamilifu zilizomo kwenye silabasi ya Kiswahili, kidato cha kwanza na pili. Kinawapa wanafunzi mwangaza na ustadi kamili kuhusu uandishi wa tungo hizi kwa kutilia mkazo masharti ya karatasi ya insha katika mtihani wa KCSE. Chapisho hili ni kito kwa mwanafunzi anayetafuta alama ‘A’ katika mtihani. Mwalimu amepewa dira ya kufundishia na kutathminia uwezo wa wanafunzi wake katika uandishi wa insha.