Kioo cha KCSE Kiswahili ni toleo la kipekee linaloangazia ufaafu wa Silabasi mpya kwa manufaa ya wanafunzi wa vidato vya I, 2, 3 na 4. Kitabu hiki kinawapa wanafunzi mwelekeo ulio wazi kwa lengo la matayarisho ya mtihani wa kitaifa wa KCSE
Guaranteed safe & secure checkout